وَٱلَّذِينَ يَبِيتُونَ لِرَبِّهِمۡ سُجَّدٗا وَقِيَٰمٗا ٦٤
Walladhīna yabītūna lirabbihim sujjadan waqiyāmā
Na wale wanao kesha kwa ajili ya Mola wao Mlezi kwa kusujudu na kusimama. 64
Maelezo ya chini
64 Na wale ambao wanakesha katika ibada na Sala, wakimdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi.