Surat Al-Furqan, aya 46

25:46

ثُمَّ قَبَضۡنَٰهُ إِلَيۡنَا قَبۡضٗا يَسِيرٗا ٤٦

Thumma qabadnāhu ilaynā qabdan yasīrā

Kisha tunakivutia kwetu kidogo kidogo. 46

Maelezo ya chini

46 Na kukiondoa kwetu kivuli ni kwa utaratibu, kwa kipimo. Hakukuwa kwa mara moja. Na katika hayo yapo manufaa kwa watu.