Surat Al-Furqan, aya 39

25:39

وَكُلّٗا ضَرَبۡنَا لَهُ ٱلۡأَمۡثَٰلَۖ وَكُلّٗا تَبَّرۡنَا تَتۡبِيرٗا ٣٩

Wakullan darabnā lahul-amthāla wakullan tabbarnā tatbīrā

Na wote tuliwapigia mifano, na wote tuliwaangamiza kabisa kabisa. 39

Maelezo ya chini

39 Na Sisi tumezionya kaumu zote hizi. Tukawakumbusha mawaidha, na mifano ya kweli yenye manufaa. Lakini hawakuwaidhika. Tukawashika wote kwa kuwaadhibu, tukawahiliki, na tukayabomoa majumba yao mpaka kifusi.