يَٰوَيۡلَتَىٰ لَيۡتَنِي لَمۡ أَتَّخِذۡ فُلَانًا خَلِيلٗا ٢٨
Yāwaylatā laytanī lam attakhidh fulānan khalīlā
Ee Ole wangu! Laiti nisingeli mfanya fulani kuwa rafiki! 28
Maelezo ya chini
28 Na atasema kwa kujuta kuwafuata walio mpoteza: Laiti ningeli kuwa sikumsadiki fulani, ambaye nimemwachia aniongoze.