أَلَمۡ تَرَ كَيۡفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصۡحَٰبِ ٱلۡفِيلِ ١
Alam tara kayfa fa'ala rabbuka bi ashābil-fīl
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo? 1
Maelezo ya chini
1 Hakika, ewe Muhammad, unajua kwa ujuzi usio ingiliwa na shaka yoyote, alivyo fanya Mola wako Mlezi kuwafanyia wale watu wenye tembo (ndovu), wakataka kuishambulia Nyumba takatifu ya Al-Kaaba.