Surat Al-A'raf, aya 192

7:192

وَلَا يَسۡتَطِيعُونَ لَهُمۡ نَصۡرٗا وَلَآ أَنفُسَهُمۡ يَنصُرُونَ ١٩٢

Walā yastatī'ūna lahum nasran walā anfusahum yansurūn

Wala hawana uwezo wa kuwanusuru wala wenyewe hawajinusuru. 192

Maelezo ya chini

192 Wala hayawezi kuwasaidia hao wanayo yaabudu, wala hayajisaidii wenyewe akitokea mtu kuyashambulia.