Surat Al-A'raf, aya 170

7:170

وَٱلَّذِينَ يُمَسِّكُونَ بِٱلۡكِتَٰبِ وَأَقَامُواْ ٱلصَّلَوٰةَ إِنَّا لَا نُضِيعُ أَجۡرَ ٱلۡمُصۡلِحِينَ ١٧٠

Walladhīna yumassikūna bil-kitābi wa aqāmus-salawāta innā lā nudī'u ajral-muslihīn

Na wale wanao kishikilia Kitabu, na wakashika Swala - hakika Sisi hatupotezi ujira wa watendao mema. 170

Maelezo ya chini

170 Na wanao ikamata baraabara Taurati, na wakashika Swala zilizo faridhiwa kwao, hakika Sisi hatutaupoteza ujira wao kwa sababu ya kutengeneza kwao na kutenda kwao mema.