Surat Al-A'raf, aya 120

7:120

وَأُلۡقِيَ ٱلسَّحَرَةُ سَٰجِدِينَ ١٢٠

Wa ulqiyas-saharatu sājidīn

Na wachawi wakapoomoka wakisujudu. 120

Maelezo ya chini

120 Haya ni mambo yaliyo wafika Firauni na waheshimiwa wake. Ama wale wachawi Haki iliangaza kwao, na wakaanguka kwa kumsujudia Mwenyezi Mungu nao wanainyenyekea Haki.