Surat Al-A'raf, aya 119

7:119

فَغُلِبُواْ هُنَالِكَ وَٱنقَلَبُواْ صَٰغِرِينَ ١١٩

Faghulibū hunālika wanqalabū sāghirīn

Kwa hivyo walishindwa hapo, na wakageuka kuwa wadogo. 119

Maelezo ya chini

119 Firauni na waheshimiwa wake wakashindwa katika ule mkutano mkubwa, na wakawa madhalili mbele ya watu wote kwa masaibu yaliyo wapata, nayo ni kuvunjika moyo na kukata tamaa.