فَوَقَعَ ٱلۡحَقُّ وَبَطَلَ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ١١٨
Fawaqa'al-haqqu wabatala mā kānū ya'malūn
Kweli ikathibiti na yakabat'ilika waliyo kuwa wakiyatenda. 118
Maelezo ya chini
118 Basi Haki ikathibiti na kudhihiri upande wa Musa a.s. na ukabwatika udanganyifu wa wachawi.