قَالُوٓاْ أَرۡجِهۡ وَأَخَاهُ وَأَرۡسِلۡ فِي ٱلۡمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ ١١١
Qālū arjih wa akhāhu wa arsil fil-madā'ini hāshirīn
Wakasema: Mwache kidogo yeye na nduguye, na watume mijini wakusanyao,. 111
Maelezo ya chini
111 Wakasema: Akhirisha kukata shauri juu yake na nduguye huyu anaye msaidia katika wito wake, na watume watu katika askari wako wende katika miji ya ufalme wako wawakusanye walio mafundi katika ilimu ya uchawi.