Surat Al-Anfal, aya 21

8:21

وَلَا تَكُونُواْ كَٱلَّذِينَ قَالُواْ سَمِعۡنَا وَهُمۡ لَا يَسۡمَعُونَ ٢١

Walā takūnū kalladhīna qālū sami'nā wahum lā yasma'ūn

Wala msiwe kama wale wanao sema: Tumesikia, na kumbe hawasikii. 21

Maelezo ya chini

21 Wala msiwe kama wanaafiki wanao sema: Tumeisikia Haki na tumefahamu. Lakini hawaifuati wala hawaiamini. Basi wamekuwa kama wasio sikia.