قَالُوٓاْ أَجِئۡتَنَا بِٱلۡحَقِّ أَمۡ أَنتَ مِنَ ٱللَّٰعِبِينَ ٥٥
Qālū aji'tanā bil-haqqi am anta minal-lā'ibīn
Wakasema: Je! Umetujia kwa maneno ya kweli au wewe ni katika wachezao tu? 55
Maelezo ya chini
55 Wakasema: Je! Umetujia kwa haya uyasemayo na hakika ya kweli unayo iamini, au kwa maneno haya wewe ni katika wanao fanya pumbao na mchezo tu bila ya kuwa na maana yoyote?