قَالَ لَقَدۡ كُنتُمۡ أَنتُمۡ وَءَابَآؤُكُمۡ فِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٖ ٥٤
Qāla laqad kuntum antum wa ābā'ukum fī dalālim mubīn
kasema: Bila ya shaka nyinyi na baba zenu mmekuwa katika upotofu ulio dhaahiri. 54
Maelezo ya chini
54 Yeye akasema: Nyinyi na baba zenu kabla yenu, ni wazi kuwa nyote mko mbali na Haki.