Surat Al-Anbiya, aya 20

21:20

يُسَبِّحُونَ ٱلَّيۡلَ وَٱلنَّهَارَ لَا يَفۡتُرُونَ ٢٠

Yusabbihūnal-layla wan-nahāra lā yafturūn

Wanamtakasa usiku na mchana, wala hawanyong'onyei. 20

Maelezo ya chini

20 Wanamtakasa aliye tukuka shani yake na kila lisio muelekea. Kumtakasa huku hakusiti, bali huo ni mtakaso wa daima, hawana shughuli nyengine ya kuwashughulisha.