Surat Al-Anbiya, aya 21

21:21

أَمِ ٱتَّخَذُوٓاْ ءَالِهَةٗ مِّنَ ٱلۡأَرۡضِ هُمۡ يُنشِرُونَ ٢١

Amit-takhadhū ālihatam minal-ardi hum yunshirūn

Au wamepata miungu katika ardhi inayo fufua? 21

Maelezo ya chini

21 Washirikina hawafanyi wafanyavyo walio karibishwa katika kumsafishia ibada Mwenyezi Mungu, bali wao wamewaabudu wenginewe, na wakafanya miungu duniani isiyo stahiki kuabudiwa. Na huwaje kwenda kuabudu kitu kisicho kuwa Mwenyezi Mungu, ambacho hakiwezi kufufua?