Surat Al-Anbiya, aya 102

21:102

لَا يَسۡمَعُونَ حَسِيسَهَاۖ وَهُمۡ فِي مَا ٱشۡتَهَتۡ أَنفُسُهُمۡ خَٰلِدُونَ ١٠٢

Lā yasma'ūna hasīsahā wahum fī mashtahat anfusuhum khālidūn

Hawatausikia mvumo wake, na wao watadumu katika yale zinayo yatamani nafsi zao. 102

Maelezo ya chini

102 Hawatasikia sauti ya Moto wake unavyo vuma. Nao huko watapata kila ambacho nafsi inatamani, daima milele.