لِّكُلِّ نَبَإٖ مُّسۡتَقَرّٞۚ وَسَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ٦٧
Llikulli naba'im mustaqarrun wasawfa ta'lamūn
Kila khabari ina kipindi chake. Nanyi mtakuja jua. 67
Maelezo ya chini
67 Kila khabari iliyo letwa na Qur'ani ina wakati wake wa kutimia. Nanyi mtakuja jua ukweli wa khabari hizi zitapo tokea.