Surat Al-An'am, aya 43

6:43

فَلَوۡلَآ إِذۡ جَآءَهُم بَأۡسُنَا تَضَرَّعُواْ وَلَٰكِن قَسَتۡ قُلُوبُهُمۡ وَزَيَّنَ لَهُمُ ٱلشَّيۡطَٰنُ مَا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ٤٣

Falawlā idh jā'ahum ba sunā tadarra'ū walākin qasat qulūbuhum wazayyana lahumush-shaytānu mā kānū ya'malūn

Kwa nini wasinyenyekee ilipo wafika adhabu yetu? Lakini nyoyo zao zilikuwa ngumu, na Shet'ani akawapambia waliyo kuwa wakiyafanya. 43

Maelezo ya chini

43 Na lililo takikana ni kuwa warejee kwa Mola wao Mlezi. Lakini hawakufanya hayo. Bali zikaendelea nyoyo zao katika ugumu wao, na Shetani akawapambia vile vitendo vyao vibaya, (wakaviona vizuri).