Surat Al-A'la, aya 10

87:10

سَيَذَّكَّرُ مَن يَخۡشَىٰ ١٠

Sayaddhakkaru man yakhshā

Atakumbuka mwenye kuogopa. 10

Maelezo ya chini

10 Watanafiika kwa ukumbusho wako wanao mwogopa Mwenyezi Mungu.