وَبَشِّرِ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ بِأَنَّ لَهُم مِّنَ ٱللَّهِ فَضۡلٗا كَبِيرٗا ٤٧
Wabasshiril-mu'minīna bi anna lahum minallāhi fadlan kabīrā
Na wabashirie Waumini ya kwamba wana fadhila kubwa inayo toka kwa Mwenyezi Mungu. 47
Maelezo ya chini
47 Na wabashirie Waumini kwamba watapata kheri kubwa ya kuzidi katika dunia na Akhera.