Surat Al-'Adiyat, aya 10

100:10

وَحُصِّلَ مَا فِي ٱلصُّدُورِ ١٠

Wahussila mā fis-sudūr

Na yakakusanywa yaliomo vifuani? 10

Maelezo ya chini

10 Na vikakusanywa viliomo vifuani navyo vimekwisha sajiliwa katika madaftari yao, yakiwa mema au mabaya waliyo yatenda?