إِنَّكُمۡ لَفِي قَوۡلٖ مُّخۡتَلِفٖ ٨
Innakum lafī qawlim mukhtalif
Hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana. 8
Maelezo ya chini
8 Kwamba nyinyi msemapo mnayo yasema ni maneno ya kugongana.