وَفِي ٱلسَّمَآءِ رِزۡقُكُمۡ وَمَا تُوعَدُونَ ٢٢
Wafis-samā'i rizqukum wamā tū'adūn
Na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyo ahidiwa. 22
Maelezo ya chini
22 Na katika mbingu ipo amri ya riziki zenu na kukadiriwa mnayo ahidiwa.