Surat Adh-Dhariyat, aya 13

51:13

يَوۡمَ هُمۡ عَلَى ٱلنَّارِ يُفۡتَنُونَ ١٣

Yawma hum 'alan-nāri yuftanūn

Hiyo ni siku watakayo adhibiwa Motoni. 13

Maelezo ya chini

13 Siku watapo simamishwa Motoni wakichomwa!