بَلۡ هُمۡ فِي شَكّٖ يَلۡعَبُونَ ٩
Bal hum fī shakkin yal'abūn
Lakini wao wanacheza katika shaka. 9
Maelezo ya chini
9 Lakini makafiri wana shaka na ukweli huu, wamo wakifuata pumbao lao. Na huo ndio mtindo wa watu wa pumbao na michezo, sio mwendo wa watu wa ilimu na yakini.