يَدۡعُونَ فِيهَا بِكُلِّ فَٰكِهَةٍ ءَامِنِينَ ٥٥
Yad'ūna fīhā bikulli fākihatin āminīn
Humo watataka kila aina ya matunda, na wakae kwa amani. 55
Maelezo ya chini
55 Nao huko Peponi watataka kila tunda wanalo litamani, kwa kujua kuwa hayatawaletea vimbizi, wala hayatakwisha, wala hayataadimika.