كَذَٰلِكَ وَزَوَّجۡنَٰهُم بِحُورٍ عِينٖ ٥٤
Kadhālika wazawwajnāhum bihūrin 'īn
Hivi ndivyo itakavyo kuwa, na tutawaoza mahurilaini. 54
Maelezo ya chini
54 Na pamoja na malipo haya tutawaoza huko Peponi mahurulaini, ambao huwezi kuwachanganyia jicho kwa hadi ya uzuri wao na ukubwa wa macho yao.