Surat Ad-Dukhan, aya 53

44:53

يَلۡبَسُونَ مِن سُندُسٖ وَإِسۡتَبۡرَقٖ مُّتَقَٰبِلِينَ ٥٣

Yalbasūna min sundusin wa istabraqim mutaqābilīn

Watavaa hariri nyepesi na hariri nzito wakikabiliana, 53

Maelezo ya chini

53 Wakivaa humo hariri nyepesi na nzito kuzidi kuongeza mapambo yao, nao wakielekeana katika majlisi zao, ili kutimiza starehe.