Surat Ad-Dukhan, aya 52

44:52

فِي جَنَّٰتٖ وَعُيُونٖ ٥٢

Fī jannātin wa'uyūn

Katika mabustani na chemchem, 52

Maelezo ya chini

52 Katika mabustani watapo kuwa ndani yake wanastarehe, na chemchem za maji yanayo pita chini yao, kwa sababu ya kuwakirimu wao kwa kutukuza hizo neema zao.