ثُمَّ صُبُّواْ فَوۡقَ رَأۡسِهِۦ مِنۡ عَذَابِ ٱلۡحَمِيمِ ٤٨
Thumma subbū fawqa ra'sihī min 'adhābil-hamīm
Kisha mmwagieni juu ya kichwa chake adhabu ya maji yanayo chemka. 48
Maelezo ya chini
48 Kisha mmiminieni juu ya kichwa chake maji ya moto makali kuzidi kumuadhibu na kumtesa.