وَمَا خَلَقۡنَا ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ وَمَا بَيۡنَهُمَا لَٰعِبِينَ ٣٨
Wamā khalaqnas-samāwāti wal-arda wamā baynahumā lā'ibīn
Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo baina yake kwa mchezo. 38
Maelezo ya chini
38 Na Mwenyezi Mungu hakuumba mbingu na ardhi na viliomo baina yao bila ya hikima.