يَوۡمَ نَبۡطِشُ ٱلۡبَطۡشَةَ ٱلۡكُبۡرَىٰٓ إِنَّا مُنتَقِمُونَ ١٦
Yawma nabtishul-batshatal-kubrā innā muntaqimūn
Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa. 16
Maelezo ya chini
16 Ewe Mtume! Watajie ile siku tutapo washika kwa mshiko mkubwa, wa nguvu. Nasi kwa mshiko huu ndio tunawatesa.