Surat 'Abasa, aya 24

80:24

فَلۡيَنظُرِ ٱلۡإِنسَٰنُ إِلَىٰ طَعَامِهِۦٓ ٢٤

Falyanzuril-insānu ilā ta'āmih

Hebu mtu na atazame chakula chake. 24

Maelezo ya chini

24 Hebu mtu na aangalie shani ya chakula chake - vipi tulivyo kipanga na kumsahilishia!