Surat 'Abasa, aya 23

80:23

كَلَّا لَمَّا يَقۡضِ مَآ أَمَرَهُۥ ٢٣

Kallā lammā yaqdi mā amarah

La! Hajamaliza aliyo muamuru. 23

Maelezo ya chini

23 Ni kweli mwanaadamu, juu ya kuwa umri wake mrefu duniani, hakutimiza aliyo amrishwa na Mwenyezi Mungu katika mambo ya Imani na ut'iifu.