قُتِلَ ٱلۡإِنسَٰنُ مَآ أَكۡفَرَهُۥ ١٧
Qutilal-insānu mā akfarah
Ameangamia mwanaadamu! Nini kinacho mkufurisha? 17
Maelezo ya chini
17 Ameangamia mwanaadamu! Nini kilicho mfanya akufuru na hali Mwenyezi Mungu amemfanyia hisani zote hizi?