قَالُواْ سَنُرَٰوِدُ عَنۡهُ أَبَاهُ وَإِنَّا لَفَٰعِلُونَ ٦١
Qālū sanurāwidu 'anhu abāhu wa innā lafā'ilūn
Wakasema: Sisi tutamrairai baba yake; na bila ya shaka tutafanya hayo. 61
Maelezo ya chini
61 Nduguze wakasema: Tutajaribu kusema na baba yake ageuze rai yake, iondoke khofu yake juu ya mwanawe. Na sisi tunakuhakikishia kuwa hatutokasiri wala kulegalega katika hayo.