Surat Yusuf, aya 60

12:60

فَإِن لَّمۡ تَأۡتُونِي بِهِۦ فَلَا كَيۡلَ لَكُمۡ عِندِي وَلَا تَقۡرَبُونِ ٦٠

Fa il lam ta'tūnī bihī falā kayla lakum 'indī walā taqrabūn

Na msipo niletea basi hampati kipimo chochote kwangu, wala msinikurubie. 60

Maelezo ya chini

60 Mkitomleta ndugu yenu huyu, basi hampati chakula kwangu, wala msijaribu kunijia tena.