أَرۡسِلۡهُ مَعَنَا غَدٗا يَرۡتَعۡ وَيَلۡعَبۡ وَإِنَّا لَهُۥ لَحَٰفِظُونَ ١٢
Arsilhu ma'anā ghadan yarta' wayal'ab wa innā lahū lahāfizūn
Mpeleke kesho pamoja nasi, ale kwa furaha na acheze; na bila ya shaka sisi tutamhifadhi. 12
Maelezo ya chini
12 Mwache ende nasi kesho machungani. Atastarehe kwa kula vyakula vizuri, atacheza na atafurahi. Na sisi kwa yakini tuna hima ya kumhifadhi kumkinga na madhara yoyote.