Surat Yunus, aya 60

10:60

وَمَا ظَنُّ ٱلَّذِينَ يَفۡتَرُونَ عَلَى ٱللَّهِ ٱلۡكَذِبَ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَذُو فَضۡلٍ عَلَى ٱلنَّاسِ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَهُمۡ لَا يَشۡكُرُونَ ٦٠

Wamā zannul-ladhīna yaftarūna 'alallāhil-kadhiba yawmal-qiyāmati innallāha ladhū fadlin 'alan-nāsi walākinna aktharahum lā yashkurūn

Na nini dhana ya wanao mzulia Mwenyezi Mungu kwa Siku ya Kiyama? Hakika Mwenyezi Mungu ana fadhila juu ya watu, lakini wengi wao hawashukuru. 60

Maelezo ya chini

60 Na watadhani nini Siku ya Kiyama hao walio mzulia uwongo Mwenyezi Mungu, wakajipa kuhalalisha na kuharimisha bila ya kuwa nayo dalili yoyote? Hakika Mwenyezi Mungu amewaneemesha neema nyingi na amezihalalisha kwao kwa fadhila yake, na amewawekea Sharia yenye kheri kwao. Lakini hawamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hayo, bali wanamzulia Mwenyezi Mungu uwongo!