وَأَنۡ أَقِمۡ وَجۡهَكَ لِلدِّينِ حَنِيفٗا وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ١٠٥
Wa an aqim wajhaka lid-dīni hanīfan walā takūnanna minal-mushrikīn
Na uelekeze uso wako kwenye Dini ya Kweli, wala usiwe katika washirikina. 105
Maelezo ya chini
105 Ewe Nabii! Simama sawasawa, umuelekee Mwenyezi Mungu vilivyo. Wala usijitie katika miongoni mwa walio mshirikisha Mwenyezi Mungu. Epukana nao, na uwe mbali nao, wewe na Waumini wanao kufuata.