Surat Yasin, aya 59

36:59

وَٱمۡتَٰزُواْ ٱلۡيَوۡمَ أَيُّهَا ٱلۡمُجۡرِمُونَ ٥٩

Wamtāzul-yawma ayyuhal-mujrimūn

Na enyi wakosefu! Jitengeni leo! 59

Maelezo ya chini

59 Na wataambiwa wakosefu siku hii ya leo: Jitengeni mbali na Waumini.