Surat Yasin, aya 57

36:57

لَهُمۡ فِيهَا فَٰكِهَةٞ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ ٥٧

Lahum fīhā fākihatun walahum mā yadda'ūn

Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka. 57

Maelezo ya chini

57 Wao na wake zao wamo katika vivuli vilivyo enea, wameegemea juu ya viti vilivyo pambwa.