Surat Yasin, aya 53

36:53

إِن كَانَتۡ إِلَّا صَيۡحَةٗ وَٰحِدَةٗ فَإِذَا هُمۡ جَمِيعٞ لَّدَيۡنَا مُحۡضَرُونَ ٥٣

In kānat illā sayhatan wāhidatan fa idhā hum jamī'ul ladaynā muhdarūn

Haitakuwa ila ukelele mmoja tu, mara wote watahudhuruishwa mbele yetu. 53

Maelezo ya chini

53 Wito wao wa kuwatoa hautakuwa ila ukelele mmoja tu, mara wote watakusanywa mbele yetu wahudhurishwe ili tuwahisabie.