إِلَّا رَحۡمَةٗ مِّنَّا وَمَتَٰعًا إِلَىٰ حِينٖ ٤٤
Illā rahmatam minnā wamatā'an ilā hīn
Isipo kuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda. 44
Maelezo ya chini
44 Lakini Sisi hatuwazamishi, kwa sababu ya rehema inayo tokana nasi, na ili tuwastareheshe kwa muda ulio kwisha kadiriwa.