Surat Yasin, aya 43

36:43

وَإِن نَّشَأۡ نُغۡرِقۡهُمۡ فَلَا صَرِيخَ لَهُمۡ وَلَا هُمۡ يُنقَذُونَ ٤٣

Wa in nasha' nughriqhum falā sarīkha lahum walā hum yunqadhūn

Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi, 43

Maelezo ya chini

43 Na tukitaka kuwazamisha, tunawazamisha. Na wala hawapati wa kuwaopoa, wala hawapati wa kuwaokoa wasiangamie.