Surat Yasin, aya 24

36:24

إِنِّيٓ إِذٗا لَّفِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٍ ٢٤

Innī idhal lafī dalālim mubīn

Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri. 24

Maelezo ya chini

24 Basi hakika mimi nikiiabudu miungu mingine badala yake Yeye, nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.