Surat Yasin, aya 25

36:25

إِنِّيٓ ءَامَنتُ بِرَبِّكُمۡ فَٱسۡمَعُونِ ٢٥

Innī āmantu birabbikum fasma'ūn

Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni! 25

Maelezo ya chini

25 Hakika mimi ninamsadiki Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni, na ndiye Mwenye kutawala mambo yenu. Basi nisikilezeni na mnit'ii.