ٱتَّبِعُواْ مَن لَّا يَسۡـَٔلُكُمۡ أَجۡرٗا وَهُم مُّهۡتَدُونَ ٢١
Ittabi'ū mal lā yas'alukum ajran wahum muhtadūn
Wafuateni ambao hawakutakini ujira, hali ya kuwa wenyewe wameongoka. 21
Maelezo ya chini
21 Wafuateni watu wasio taka kwenu ujira wowote kwa kukunasihini na kukuongozeni, na hali wao wenyewe wameongoka, na nyinyi mtapata manufaa kwa kufuata njia ya kheri na mafanikio!