وَمَالِيَ لَآ أَعۡبُدُ ٱلَّذِي فَطَرَنِي وَإِلَيۡهِ تُرۡجَعُونَ ٢٢
Wamāliya lā a'budul-ladhī fataranī wa ilayhi turja'ūn
NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa? 22
Maelezo ya chini
22 Na kitu gani cha kunizuia hata nisimuabudu yule aliye niumba, na ambaye kwake Yeye, si kwa mwenginewe, ndio mtarejea?